Radio Butiama

  1. Mahojiano na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili - Voice of America2007/03/11
    Info (Show/Hide)
  2. Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya - Viti Maalum CHADEMA2007/01/29
    Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya ni mmoja wa wabunge vijana wanaokuja juu. Akiwa na umri wa miaka 26 aliwashangaza wengi alipochaguliwa na CHADEMA kuwa Mbunge Viti Maalum. Huko Bungeni amekuwa ni mmoja wa wabunge vijana walio makini na waliojikita kuikomboa nchi yetu Je Mheshimiwa Mhonga ametokea wapi? Ni sababu gani zilimfanya aingie kwenye siasa? Kwa nini alijiunga na CHADEMA?
  3. Mahojiano na Mwanamitindo & TZ Goodwill Ambassador - Tausi Likokola 2007/01/14
    Info (Show/Hide)
  4. Mahojiano na Kleist Sykes - Former Mayor of Dar es Salaam2006/12/24
    Info (Show/Hide)
  5. Mahojiano na Author & Historian Mohamed Said2006/12/17
    Info (Show/Hide)
  6. Mahojiano na Mheshimiwa Zitto Kabwe - Mbunge wa Kigoma Kaskazini2006/12/11
    Info (Show/Hide)
  7. Mahojiano na Mheshimiwa Amina Chifupa Mpakanjia2006/11/27
    Mheshimiwa Amina Chifupa Mpakanjia ni mmoja wa wanasiasa chipukizi wanaokuja juu sana kwenye siasa ya Tanzania. Akiwa na umri wa miaka 25 tu ameweza kuwashangaza watu wengi kwa mambo makubwa anayoyafanya. Je Mh. Amina Chifupa ametokea wapi? Kwa nini aliingia kwenye siasa? Nani alimshauri? Kwa nini kawavalia njuga wauza madawa ya kulevya? Je ana ndoto za kuja kugombea urais hapo baadae?
  8. Mahojiano na Mheshimiwa Augustine Lyatona Mrema2006/11/20
    Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema ni mmoja wa wanasiasa maarufu nchini Tanzania. Lakini hivi sasa umaarufu wake umeanza kupungua kwa kasi kubwa na watu wengi wanamuona kama kaporomoka kisiasa. Je Mrema ametoka wapi? Yupo wapi na anaelekea wapi? Ni sababu gani zilimtoa CCM na NCCR-MAGEUZI? Je ni kweli Mrema kapandikizwa na CCM ili kuua upinzani? Na vipi kuhusu shahada yake? Sikiliza zaidi.
  9. Mahojiano na Dr. Malima Bundara2006/11/12
    Info (Show/Hide)
  10. Mahojiano na Mwanahabari/Mwanablogu Ndesanjo Macha2006/10/29
    Info (Show/Hide)
Radio Butiama
https://www.podomatic.com/podcasts/butiama
Radio Butiama imeanzishwa ili kumuenzi Mwalimu J.K Nyerere kwa kutoa nafasi kwa wa-Tanzania kujadili na kuchambua mambo muhimu yanayohusu jamii nzima ya Tanzania.