Idhaa ya Kiswahili ya BongoTz

  1. Muziki wa Nyumbani (Part-2)2010/03/17
    Usikose kuungana na mtangazaji wako wa Idhaa ya Kiswahili ya Bongotz Dosebit Nyangema kila siku ya Jumatatu kusikiliza kipindi cha " Muziki wa Nyumbani!" Burudika na vibao motomoto toka enzi hizo...
  2. Muziki wa Nyumbani (Part-1)2006/08/15
    Usikose kuungana na mtangazaji wako wa Idhaa ya Kiswahili ya Bongotz Dosebit Nyangema kila siku ya Jumatatu kusikiliza kipindi cha " Muziki wa Nyumbani!" Burudika na vibao motomoto toka enzi hizo...
  3. Rushwa barani Afrika: Rais wa Benki ya Dunia Paul Wolfwitz2006/08/14
    Sikiliza Rais wa Benki ya Dunia Bw, Paul Wolfwitz na mikakati yake ya kupambana na Rushwa barani Afrika....
  4. Hatma ya Tanzania: Mahojiano na Rais Jakaya Kiwete2006/08/12
    Nchi wafadhili na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi wamekuwa wakijitolea mno kuisadia serikali ya Tanzania mamilioni ya fedha kwa lengo moja la kuinua hali ya uchumi pamoja na kutatua matatizo mbalimbali ya kijamiii hususani uboreshaji wa sekta ya elimu, afya na miundombinu kwa ujumla. Je, ni nini mchakato Bw. Jakaya Kikwete na serikali yake ya awamu...
  5. Umoja na Amani Katika Afrika: Hotuba ya Hayati Mwl JK Nyerere2006/08/11
    Info (Show/Hide)
  6. Umoja na Amani Katika Afrika: Hotuba ya Hayati Mwl JK Nyerere2006/08/11
    Info (Show/Hide)
Idhaa ya Kiswahili ya BongoTz
https://www.podomatic.com/podcasts/bongotz